# ahadi zake makini ambazo ametumia kufunga nafsi yake "ahadi zake makini ambazo amejitoa mwenyewe kuzitimiza" # na kama atazitengua "kama atazitengua ahadi zake" # hazitakuwa na nguvu "hatalazikmika kuzitimiza" # BWANA atamsamehe "BWANA atamsamaehe kwa kutotimiza ahadi zake" # angali katika hivyo viapo "wakati bado amejitoa kutimiza viapo hivyo" # bila kufikiri "kitu kilichofanywa pasipo kufikiri" # katika hivyo viapo "vitu ambavyo mwenyee amehadi kuvifanya"