sw_tn/num/29/26.md

16 lines
312 B
Markdown

# siku ya tano ya kusanyiko
"siku ya 5 ya sikukuu." Neno kusanyiko linamaanisha sikukuu za majuma."
# wanakondoo waume kumi na nne
"wanakondoo waume 14"
# kama ilivyoamriwa
"Kama BWANA alivyoamuru"
# sadaka zake za unga, na za vinywaji
"pamoja na sadaka zake za unga na za vinywaji zinazozambatana nazo."