# siku ya tano ya kusanyiko "siku ya 5 ya sikukuu." Neno kusanyiko linamaanisha sikukuu za majuma." # wanakondoo waume kumi na nne "wanakondoo waume 14" # kama ilivyoamriwa "Kama BWANA alivyoamuru" # sadaka zake za unga, na za vinywaji "pamoja na sadaka zake za unga na za vinywaji zinazozambatana nazo."