sw_tn/num/29/26.md

312 B

siku ya tano ya kusanyiko

"siku ya 5 ya sikukuu." Neno kusanyiko linamaanisha sikukuu za majuma."

wanakondoo waume kumi na nne

"wanakondoo waume 14"

kama ilivyoamriwa

"Kama BWANA alivyoamuru"

sadaka zake za unga, na za vinywaji

"pamoja na sadaka zake za unga na za vinywaji zinazozambatana nazo."