sw_tn/num/28/23.md

24 lines
443 B
Markdown

# inayotakiwa kila asubuhi
"ambayo BWANA huitaka kila asubuhi"
# kama ilivyofafanuliwa hapa
"kama Mimi, BWANA ilkivyofafanua hapa"
# kile chakula cha sadaka kilichotengenezwa kwa moto
"mtateketeza chakula cha sadaka madhabahuni"
# kuwa harufunzuri kwa BWANA
"kama harufu nzuri kwa BWANA"
# hiki kitatolewa kuwa sadaka
"mtakitoa"
# mtakuwa na kusanyiko takatifu ili kumheshimu BWANA
"Mkusanyike pamoja kumwabudu na kumheshimu BWANA: