sw_tn/num/28/23.md

443 B

inayotakiwa kila asubuhi

"ambayo BWANA huitaka kila asubuhi"

kama ilivyofafanuliwa hapa

"kama Mimi, BWANA ilkivyofafanua hapa"

kile chakula cha sadaka kilichotengenezwa kwa moto

"mtateketeza chakula cha sadaka madhabahuni"

kuwa harufunzuri kwa BWANA

"kama harufu nzuri kwa BWANA"

hiki kitatolewa kuwa sadaka

"mtakitoa"

mtakuwa na kusanyiko takatifu ili kumheshimu BWANA

"Mkusanyike pamoja kumwabudu na kumheshimu BWANA: