# inayotakiwa kila asubuhi "ambayo BWANA huitaka kila asubuhi" # kama ilivyofafanuliwa hapa "kama Mimi, BWANA ilkivyofafanua hapa" # kile chakula cha sadaka kilichotengenezwa kwa moto "mtateketeza chakula cha sadaka madhabahuni" # kuwa harufunzuri kwa BWANA "kama harufu nzuri kwa BWANA" # hiki kitatolewa kuwa sadaka "mtakitoa" # mtakuwa na kusanyiko takatifu ili kumheshimu BWANA "Mkusanyike pamoja kumwabudu na kumheshimu BWANA: