forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
723 B
Markdown
28 lines
723 B
Markdown
# Taarifa kwa ujumla
|
|
|
|
BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanapaswa kufanya
|
|
|
|
# siku ya kumi na nne, ya mwezi wa kwanza ... katika siku ya kumi na tano ya mwezi
|
|
|
|
siku ya 14, ya mwezi wa 1, ... siku ya 15 ya mwezi huu, "Hii inamaanisha mwezi wa kwanza wa kalenda ya Kiyahudi"
|
|
|
|
# itakuwa Pasaka ya BWANA
|
|
|
|
"mtasherehekea Pasaka ya BWANA"
|
|
|
|
# kutakuwa na sikukuu
|
|
|
|
"mtakuwa nasikukuu"
|
|
|
|
# Mtakula mikate isiyokuwa na chachu
|
|
|
|
mtakula mikate isiyotiwa chachu
|
|
|
|
# siku ya kwanza
|
|
|
|
siku ya 1
|
|
|
|
# kutakuwa na kusanyiko takatifu l a kumheshimu BWANA
|
|
|
|
"Mtakusanyika pamja kumwabudu na kumheshimu BWANA." Kirai cha kusanyiko takatifu kinamaanishsa kuwa watu wanakusanyika kumwabudu BWANA. Kumwabudu BWANA ni kusanyiko takatifu.
|