sw_tn/num/28/16.md

723 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanapaswa kufanya

siku ya kumi na nne, ya mwezi wa kwanza ... katika siku ya kumi na tano ya mwezi

siku ya 14, ya mwezi wa 1, ... siku ya 15 ya mwezi huu, "Hii inamaanisha mwezi wa kwanza wa kalenda ya Kiyahudi"

itakuwa Pasaka ya BWANA

"mtasherehekea Pasaka ya BWANA"

kutakuwa na sikukuu

"mtakuwa nasikukuu"

Mtakula mikate isiyokuwa na chachu

mtakula mikate isiyotiwa chachu

siku ya kwanza

siku ya 1

kutakuwa na kusanyiko takatifu l a kumheshimu BWANA

"Mtakusanyika pamja kumwabudu na kumheshimu BWANA." Kirai cha kusanyiko takatifu kinamaanishsa kuwa watu wanakusanyika kumwabudu BWANA. Kumwabudu BWANA ni kusanyiko takatifu.