# Taarifa kwa ujumla BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanapaswa kufanya # siku ya kumi na nne, ya mwezi wa kwanza ... katika siku ya kumi na tano ya mwezi siku ya 14, ya mwezi wa 1, ... siku ya 15 ya mwezi huu, "Hii inamaanisha mwezi wa kwanza wa kalenda ya Kiyahudi" # itakuwa Pasaka ya BWANA "mtasherehekea Pasaka ya BWANA" # kutakuwa na sikukuu "mtakuwa nasikukuu" # Mtakula mikate isiyokuwa na chachu mtakula mikate isiyotiwa chachu # siku ya kwanza siku ya 1 # kutakuwa na kusanyiko takatifu l a kumheshimu BWANA "Mtakusanyika pamja kumwabudu na kumheshimu BWANA." Kirai cha kusanyiko takatifu kinamaanishsa kuwa watu wanakusanyika kumwabudu BWANA. Kumwabudu BWANA ni kusanyiko takatifu.