sw_tn/num/28/11.md

24 lines
330 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanapaswa kufanya
# sehemu ya kumi tatu
"lita sita"
# sehemu za kumi mbili
"takribani lita 4.5"
# sehemu ya kumi ya efa
"lita 2"
# ilyochanganywa na mafuta
"ambayo mmeichanganya na mafuta"
# iliyotengenezwa kwa moto
ambayo mmeiteketeza madhabahuni