# Taarifa kwa ujumla BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanapaswa kufanya # sehemu ya kumi tatu "lita sita" # sehemu za kumi mbili "takribani lita 4.5" # sehemu ya kumi ya efa "lita 2" # ilyochanganywa na mafuta "ambayo mmeichanganya na mafuta" # iliyotengenezwa kwa moto ambayo mmeiteketeza madhabahuni