sw_tn/num/28/11.md

330 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanapaswa kufanya

sehemu ya kumi tatu

"lita sita"

sehemu za kumi mbili

"takribani lita 4.5"

sehemu ya kumi ya efa

"lita 2"

ilyochanganywa na mafuta

"ambayo mmeichanganya na mafuta"

iliyotengenezwa kwa moto

ambayo mmeiteketeza madhabahuni