sw_tn/num/27/22.md

20 lines
436 B
Markdown

# na kumweka mbele ya
"na akamwambia kusimama mbele ya"
# Akaweka mikono yake juu yake na kumwamuru aongoze
kiwakilishi "a" kinamaanisha Musa, na kiwakilishi "ku" kinamwakilisha Joshua.
# Akaweka mikono yake yake
Kitendo cha kuweka mikono ilikuwa njia ya kumweka mtu wakfu ili afanye kazi maalumu ya Mungu.
# aongoze
"kuwa kiongozi wa Waisraeli"
# kama BWANA alivyokuwa amemwamuru kufanya
kiwakilishi "mu" kinamwakilisha Musa