# na kumweka mbele ya "na akamwambia kusimama mbele ya" # Akaweka mikono yake juu yake na kumwamuru aongoze kiwakilishi "a" kinamaanisha Musa, na kiwakilishi "ku" kinamwakilisha Joshua. # Akaweka mikono yake yake Kitendo cha kuweka mikono ilikuwa njia ya kumweka mtu wakfu ili afanye kazi maalumu ya Mungu. # aongoze "kuwa kiongozi wa Waisraeli" # kama BWANA alivyokuwa amemwamuru kufanya kiwakilishi "mu" kinamwakilisha Musa