sw_tn/num/27/09.md

12 lines
295 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Hii inaendeleza sheria za Mungu juu ya nani anapaswa kupokea ardhi kama mtu hakuwa na wana.
# Hii itakuwa sheria iliyoanzishwa kwa amri kwa ajil ya watu wa Israeli
"Itakuwa sheria ambayo watu wote wa Israeli wataitii"
# alivyoniamuru
kiwakilishi "ni" kinamaanisha Musa