sw_tn/num/27/09.md

295 B

Taarifa kwa ujumla

Hii inaendeleza sheria za Mungu juu ya nani anapaswa kupokea ardhi kama mtu hakuwa na wana.

Hii itakuwa sheria iliyoanzishwa kwa amri kwa ajil ya watu wa Israeli

"Itakuwa sheria ambayo watu wote wa Israeli wataitii"

alivyoniamuru

kiwakilishi "ni" kinamaanisha Musa