# Taarifa kwa ujumla Hii inaendeleza sheria za Mungu juu ya nani anapaswa kupokea ardhi kama mtu hakuwa na wana. # Hii itakuwa sheria iliyoanzishwa kwa amri kwa ajil ya watu wa Israeli "Itakuwa sheria ambayo watu wote wa Israeli wataitii" # alivyoniamuru kiwakilishi "ni" kinamaanisha Musa