sw_tn/num/26/05.md

273 B

Taarifa kwa ujumla

Viongozi wa Israeli wanawahesabu wanaume wenye umri wa miaka 20 na zaidi, kwa kufuata makabila yao na familia zao.

ndiye aliyekuwa mzaliwa wa kwanza wa Israeli

"Israeli" inamaanisha Yakobo

kutoka kwa mwana wake

Neno "wake" inamaanisha Reubeni