sw_tn/num/26/05.md

12 lines
273 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Viongozi wa Israeli wanawahesabu wanaume wenye umri wa miaka 20 na zaidi, kwa kufuata makabila yao na familia zao.
# ndiye aliyekuwa mzaliwa wa kwanza wa Israeli
"Israeli" inamaanisha Yakobo
# kutoka kwa mwana wake
Neno "wake" inamaanisha Reubeni