sw_tn/num/24/21.md

16 lines
390 B
Markdown

# Wakeni
Hili ni jina la kundi la watu walitokana na Kaini
# Mahali unapoishi pana usalamu
"Mahali unapoishi panalindwa"
# na viota vyake viko kwenye miamba
"mahali penu pana usalama kama vile kioyta kilivyo salama kinapokuwa kwenye miamba"
# Lakini pamoja na hayo, Kaini ataharibiwa na Ashuru atakapowachukua mateka."
"Lakini Waashuru watawaharibu Wakeni na kuwachukua kama mateka"