sw_tn/num/24/21.md

390 B

Wakeni

Hili ni jina la kundi la watu walitokana na Kaini

Mahali unapoishi pana usalamu

"Mahali unapoishi panalindwa"

na viota vyake viko kwenye miamba

"mahali penu pana usalama kama vile kioyta kilivyo salama kinapokuwa kwenye miamba"

Lakini pamoja na hayo, Kaini ataharibiwa na Ashuru atakapowachukua mateka."

"Lakini Waashuru watawaharibu Wakeni na kuwachukua kama mateka"