# Wakeni Hili ni jina la kundi la watu walitokana na Kaini # Mahali unapoishi pana usalamu "Mahali unapoishi panalindwa" # na viota vyake viko kwenye miamba "mahali penu pana usalama kama vile kioyta kilivyo salama kinapokuwa kwenye miamba" # Lakini pamoja na hayo, Kaini ataharibiwa na Ashuru atakapowachukua mateka." "Lakini Waashuru watawaharibu Wakeni na kuwachukua kama mateka"