sw_tn/num/24/07.md

610 B

Taarifa kwa ujumla

Balaamu anaendelea kutabiri kwa uwezo wa Mungu.

Maji yanatirika ... zimemwagiwa maji

"Mungu ataibariki Israeli kwa maji mengi kwa ajili ya mazao"

mbegu zao zimemwagiwa maji vizuri

"Watakuwa na maji mengi kwa ajili ya mbegu zao ili kusitawisha mazao"

Mfalme wao atakuwa juu ... na ufame wao utaheshimiwa

Sentensi hizi zinamaanisha kitu kimoja zinasisitiza kuwa Mungu atawabariki ukilinganisha na mataifa mengine.

Mfalme wao atakuwa juu ya Agagi

Neno "juu" linamaanishsa heshima ya juu na mamlaka kuliko Agagi.

Ufalme wao utaheshimiwa

"watu wengine watauheshimu ufalme"