# Taarifa kwa ujumla Balaamu anaendelea kutabiri kwa uwezo wa Mungu. # Maji yanatirika ... zimemwagiwa maji "Mungu ataibariki Israeli kwa maji mengi kwa ajili ya mazao" # mbegu zao zimemwagiwa maji vizuri "Watakuwa na maji mengi kwa ajili ya mbegu zao ili kusitawisha mazao" # Mfalme wao atakuwa juu ... na ufame wao utaheshimiwa Sentensi hizi zinamaanisha kitu kimoja zinasisitiza kuwa Mungu atawabariki ukilinganisha na mataifa mengine. # Mfalme wao atakuwa juu ya Agagi Neno "juu" linamaanishsa heshima ya juu na mamlaka kuliko Agagi. # Ufalme wao utaheshimiwa "watu wengine watauheshimu ufalme"