sw_tn/num/24/07.md

24 lines
610 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Balaamu anaendelea kutabiri kwa uwezo wa Mungu.
# Maji yanatirika ... zimemwagiwa maji
"Mungu ataibariki Israeli kwa maji mengi kwa ajili ya mazao"
# mbegu zao zimemwagiwa maji vizuri
"Watakuwa na maji mengi kwa ajili ya mbegu zao ili kusitawisha mazao"
# Mfalme wao atakuwa juu ... na ufame wao utaheshimiwa
Sentensi hizi zinamaanisha kitu kimoja zinasisitiza kuwa Mungu atawabariki ukilinganisha na mataifa mengine.
# Mfalme wao atakuwa juu ya Agagi
Neno "juu" linamaanishsa heshima ya juu na mamlaka kuliko Agagi.
# Ufalme wao utaheshimiwa
"watu wengine watauheshimu ufalme"