sw_tn/num/24/06.md

20 lines
587 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Balaamu anaendelea kutabiri kwa uwezo wa Mungu
# Wamesambaa kama bonde
Balaamu anawaongelea Waisraeli kuwa walikuwa wengi kiasi cha kulijaza bonde lote
# kama bustani zilizo pembezonimwa mto
Balaamu anawaongelea Waisraeli kama bustani iliyomwagiliwa maji na itoayo mavuno menegi.
# kama miti ya mishubiri iliyopandwa na Mungu
"Mishubiri ambayo BWANA ameipanda"
# kama mfano wa mierezi pembezoni mwa maji
Mierezi ilikuwa miti mierfu sana huko Israeli. Balaamu anawaongelea Waisraeli kama mierezi iliyokuwa sana na kuwa miti mikubwa kwa sababu ya maji mengi.