sw_tn/num/24/06.md

587 B

Taarifa kwa ujumla

Balaamu anaendelea kutabiri kwa uwezo wa Mungu

Wamesambaa kama bonde

Balaamu anawaongelea Waisraeli kuwa walikuwa wengi kiasi cha kulijaza bonde lote

kama bustani zilizo pembezonimwa mto

Balaamu anawaongelea Waisraeli kama bustani iliyomwagiliwa maji na itoayo mavuno menegi.

kama miti ya mishubiri iliyopandwa na Mungu

"Mishubiri ambayo BWANA ameipanda"

kama mfano wa mierezi pembezoni mwa maji

Mierezi ilikuwa miti mierfu sana huko Israeli. Balaamu anawaongelea Waisraeli kama mierezi iliyokuwa sana na kuwa miti mikubwa kwa sababu ya maji mengi.