# Taarifa kwa ujumla Balaamu anaendelea kutabiri kwa uwezo wa Mungu # Wamesambaa kama bonde Balaamu anawaongelea Waisraeli kuwa walikuwa wengi kiasi cha kulijaza bonde lote # kama bustani zilizo pembezonimwa mto Balaamu anawaongelea Waisraeli kama bustani iliyomwagiliwa maji na itoayo mavuno menegi. # kama miti ya mishubiri iliyopandwa na Mungu "Mishubiri ambayo BWANA ameipanda" # kama mfano wa mierezi pembezoni mwa maji Mierezi ilikuwa miti mierfu sana huko Israeli. Balaamu anawaongelea Waisraeli kama mierezi iliyokuwa sana na kuwa miti mikubwa kwa sababu ya maji mengi.