sw_tn/num/23/21.md

395 B

magumu katika Yeriko ... tabu katika Israeli

Virai hivi vinamaana moja ambayo yaweza kuwa 1) Mungu amempatia Israeli mambo mazuri tu 2) Hakuna dhdambi katika Israeli ambayo itamfanya awahukumu.

kelele za wafalme wao ziko pamoja nao

"Wanapiga kelele kwa furaha kwa sababu BWANA ni mfalme wao"

kwa nguvu kama za nyati

Mfano huu unamaanisha kuwa nguvu za BWANA ni sawa na nguvu za nyati