sw_tn/num/23/21.md

12 lines
395 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# magumu katika Yeriko ... tabu katika Israeli
Virai hivi vinamaana moja ambayo yaweza kuwa 1) Mungu amempatia Israeli mambo mazuri tu 2) Hakuna dhdambi katika Israeli ambayo itamfanya awahukumu.
# kelele za wafalme wao ziko pamoja nao
"Wanapiga kelele kwa furaha kwa sababu BWANA ni mfalme wao"
# kwa nguvu kama za nyati
Mfano huu unamaanisha kuwa nguvu za BWANA ni sawa na nguvu za nyati