# magumu katika Yeriko ... tabu katika Israeli Virai hivi vinamaana moja ambayo yaweza kuwa 1) Mungu amempatia Israeli mambo mazuri tu 2) Hakuna dhdambi katika Israeli ambayo itamfanya awahukumu. # kelele za wafalme wao ziko pamoja nao "Wanapiga kelele kwa furaha kwa sababu BWANA ni mfalme wao" # kwa nguvu kama za nyati Mfano huu unamaanisha kuwa nguvu za BWANA ni sawa na nguvu za nyati