sw_tn/num/23/07.md

521 B

Balaki amenileta kutoka Shamu ... mfalme wa Moabu kutoka katika milima ya mashariki,

Virai hivi vinamaanisha kitu kilekile

Njoo, unilaanie Yakobo kwa ajili yangu; ... njoo umtie unajisi Israeli;

Virai vyote vinamaanishsa kitu kilekile vimetumika kuongeza msisitizo kwamba Balaki alitaka Balaamu kulaani Israeli.

Nawezaje kuwalaani wale ambaoMungu hajawalaani? Nawezaje kuwapinga wwale ambao Mungu hawapingi?

"Lakini siwezi kuwalaani wale ambao Mungu hajawalaani. Siwezi kuwapinga wale ambao Mungu hajawapinga"