# Balaki amenileta kutoka Shamu ... mfalme wa Moabu kutoka katika milima ya mashariki, Virai hivi vinamaanisha kitu kilekile # Njoo, unilaanie Yakobo kwa ajili yangu; ... njoo umtie unajisi Israeli; Virai vyote vinamaanishsa kitu kilekile vimetumika kuongeza msisitizo kwamba Balaki alitaka Balaamu kulaani Israeli. # Nawezaje kuwalaani wale ambaoMungu hajawalaani? Nawezaje kuwapinga wwale ambao Mungu hawapingi? "Lakini siwezi kuwalaani wale ambao Mungu hajawalaani. Siwezi kuwapinga wale ambao Mungu hajawapinga"