sw_tn/num/23/07.md

12 lines
521 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Balaki amenileta kutoka Shamu ... mfalme wa Moabu kutoka katika milima ya mashariki,
Virai hivi vinamaanisha kitu kilekile
# Njoo, unilaanie Yakobo kwa ajili yangu; ... njoo umtie unajisi Israeli;
Virai vyote vinamaanishsa kitu kilekile vimetumika kuongeza msisitizo kwamba Balaki alitaka Balaamu kulaani Israeli.
# Nawezaje kuwalaani wale ambaoMungu hajawalaani? Nawezaje kuwapinga wwale ambao Mungu hawapingi?
"Lakini siwezi kuwalaani wale ambao Mungu hajawalaani. Siwezi kuwapinga wale ambao Mungu hajawapinga"