sw_tn/num/22/36.md

16 lines
279 B
Markdown

# Amoni
Tazama 21:12
# Je, mimi sikutuma watu kukuita?
"Kwa hakika nilituma watu kukuita"
# Kwa nini hukuja kwangu
"ulipaswa kuja kwangu"
# Je, mimi sina uwezo wa kukufanya uheshimiwe?
"kwa hakika unajua kuwa mimi ninauwezo wa kukulipa pesa kwa ajili ya ujio wako kwangu"