sw_tn/num/22/36.md

279 B

Amoni

Tazama 21:12

Je, mimi sikutuma watu kukuita?

"Kwa hakika nilituma watu kukuita"

Kwa nini hukuja kwangu

"ulipaswa kuja kwangu"

Je, mimi sina uwezo wa kukufanya uheshimiwe?

"kwa hakika unajua kuwa mimi ninauwezo wa kukulipa pesa kwa ajili ya ujio wako kwangu"