# Amoni Tazama 21:12 # Je, mimi sikutuma watu kukuita? "Kwa hakika nilituma watu kukuita" # Kwa nini hukuja kwangu "ulipaswa kuja kwangu" # Je, mimi sina uwezo wa kukufanya uheshimiwe? "kwa hakika unajua kuwa mimi ninauwezo wa kukulipa pesa kwa ajili ya ujio wako kwangu"