sw_tn/num/22/21.md

381 B

akatandika punda wake

akamwanadaa punda wake tayari kwa safari

hasira za Mungu zikawaka

"Munga akajawa na hasira"

kama adui wa Balaamu

"ili aweze kumzuia Balaamu"

akiwa na upanga mkononi

"akiwa na upanga tayari kwa kushambulia

yule punda akageuka na kwenda shambani

"Yule punda alifanya hivi ili kumwepuka malaika wa BWANA"

ili arudi barabarani

"kumrudisha"