# akatandika punda wake akamwanadaa punda wake tayari kwa safari # hasira za Mungu zikawaka "Munga akajawa na hasira" # kama adui wa Balaamu "ili aweze kumzuia Balaamu" # akiwa na upanga mkononi "akiwa na upanga tayari kwa kushambulia # yule punda akageuka na kwenda shambani "Yule punda alifanya hivi ili kumwepuka malaika wa BWANA" # ili arudi barabarani "kumrudisha"