sw_tn/num/22/21.md

24 lines
381 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# akatandika punda wake
akamwanadaa punda wake tayari kwa safari
# hasira za Mungu zikawaka
"Munga akajawa na hasira"
# kama adui wa Balaamu
"ili aweze kumzuia Balaamu"
# akiwa na upanga mkononi
"akiwa na upanga tayari kwa kushambulia
# yule punda akageuka na kwenda shambani
"Yule punda alifanya hivi ili kumwepuka malaika wa BWANA"
# ili arudi barabarani
"kumrudisha"