sw_tn/num/22/05.md

36 lines
496 B
Markdown

# Akatuma wajumbe
"Balaki akatuma wajumbe"
# Beori
Hili ni jina la baba wa Balaam.
# Pethori
Hili ni jina la mji
# katika nchi ya taifa lake na watu wake
"wa taifa la Balaam na watu wake"
# Akamwita
"Balaki akamwita Balaam."
# Wanafunika uso wa dunia
"walikuwa wengi sana"
# uso wa dunia
Hii inamaanisha sehemu ya juu ya dunia
# kuwafukuza
"kuwaondosha"
# Najua kuwa yeyote unayembariki hubarikiwa na yeyote unayemlaani atalaaniwa
"Najua unazo nguvu za kubariki na kulaani watu"