sw_tn/num/22/05.md

496 B

Akatuma wajumbe

"Balaki akatuma wajumbe"

Beori

Hili ni jina la baba wa Balaam.

Pethori

Hili ni jina la mji

katika nchi ya taifa lake na watu wake

"wa taifa la Balaam na watu wake"

Akamwita

"Balaki akamwita Balaam."

Wanafunika uso wa dunia

"walikuwa wengi sana"

uso wa dunia

Hii inamaanisha sehemu ya juu ya dunia

kuwafukuza

"kuwaondosha"

Najua kuwa yeyote unayembariki hubarikiwa na yeyote unayemlaani atalaaniwa

"Najua unazo nguvu za kubariki na kulaani watu"