# Akatuma wajumbe "Balaki akatuma wajumbe" # Beori Hili ni jina la baba wa Balaam. # Pethori Hili ni jina la mji # katika nchi ya taifa lake na watu wake "wa taifa la Balaam na watu wake" # Akamwita "Balaki akamwita Balaam." # Wanafunika uso wa dunia "walikuwa wengi sana" # uso wa dunia Hii inamaanisha sehemu ya juu ya dunia # kuwafukuza "kuwaondosha" # Najua kuwa yeyote unayembariki hubarikiwa na yeyote unayemlaani atalaaniwa "Najua unazo nguvu za kubariki na kulaani watu"