sw_tn/num/22/02.md

829 B

Baalaki mwana wa Zippori

Balaki alikuwa mfalme wa Moabu

Moabu aliwaogopa sana hao watu ... Moabu aliwahofia wana wa Israeli

Virai vyote viwili vinamaanisha kitu kilekile na vimetumika kuonesha jinsi Moabu alivyokuwa amaeogopa

Moabu aliogopa sana

"Wamoabu wote walikuwa wameogopa sana"

Kwa sababu walikuwa wengi sana

"Kwa sabau ya wingi wao"

Mfalme wa Moabu akawaambia wazee wa Midiani

Wamobau na Wamidiani walikuwa watu wa makundi mawili tofauti, lakini Wamidiani walikuwa wanishi kwenye nchi ya Moabu wakati ule.

Huu umati utakula kila kitu tulicho nacho kama vile maksai walavyo nyasi za kondoni

Jinsi Waisraeli watavyowaangamiza maadui zao kumeongolewa kama vile makaisai wanavyokula nyasi za kondeni

Sasa Balaki mwana wa Zippori alikuwa mfalme wa Moabu

Huu ndio wasifu wa Balaki katika habari hii