# Baalaki mwana wa Zippori Balaki alikuwa mfalme wa Moabu # Moabu aliwaogopa sana hao watu ... Moabu aliwahofia wana wa Israeli Virai vyote viwili vinamaanisha kitu kilekile na vimetumika kuonesha jinsi Moabu alivyokuwa amaeogopa # Moabu aliogopa sana "Wamoabu wote walikuwa wameogopa sana" # Kwa sababu walikuwa wengi sana "Kwa sabau ya wingi wao" # Mfalme wa Moabu akawaambia wazee wa Midiani Wamobau na Wamidiani walikuwa watu wa makundi mawili tofauti, lakini Wamidiani walikuwa wanishi kwenye nchi ya Moabu wakati ule. # Huu umati utakula kila kitu tulicho nacho kama vile maksai walavyo nyasi za kondoni Jinsi Waisraeli watavyowaangamiza maadui zao kumeongolewa kama vile makaisai wanavyokula nyasi za kondeni # Sasa Balaki mwana wa Zippori alikuwa mfalme wa Moabu Huu ndio wasifu wa Balaki katika habari hii