sw_tn/num/22/02.md

28 lines
829 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Baalaki mwana wa Zippori
Balaki alikuwa mfalme wa Moabu
# Moabu aliwaogopa sana hao watu ... Moabu aliwahofia wana wa Israeli
Virai vyote viwili vinamaanisha kitu kilekile na vimetumika kuonesha jinsi Moabu alivyokuwa amaeogopa
# Moabu aliogopa sana
"Wamoabu wote walikuwa wameogopa sana"
# Kwa sababu walikuwa wengi sana
"Kwa sabau ya wingi wao"
# Mfalme wa Moabu akawaambia wazee wa Midiani
Wamobau na Wamidiani walikuwa watu wa makundi mawili tofauti, lakini Wamidiani walikuwa wanishi kwenye nchi ya Moabu wakati ule.
# Huu umati utakula kila kitu tulicho nacho kama vile maksai walavyo nyasi za kondoni
Jinsi Waisraeli watavyowaangamiza maadui zao kumeongolewa kama vile makaisai wanavyokula nyasi za kondeni
# Sasa Balaki mwana wa Zippori alikuwa mfalme wa Moabu
Huu ndio wasifu wa Balaki katika habari hii