sw_tn/num/21/33.md

321 B

akatofautiana nao

"aliwavamia"

Mfanyeni kama mlivyomfanya Sihoni

"Mwangamizeni kama mlivyomwagamiza Sihoni mfalme wa Waamori"

Kwa wakamwua

"Kwa hyo jeshi la Israeli likamwua Ogu"

wote wakaisha na hakubaki hata mmoja aliyebaki hai

"watu wake wote waliuawa"

wakaichukua nchi yake

"wakaitawala nchi yake"