# akatofautiana nao "aliwavamia" # Mfanyeni kama mlivyomfanya Sihoni "Mwangamizeni kama mlivyomwagamiza Sihoni mfalme wa Waamori" # Kwa wakamwua "Kwa hyo jeshi la Israeli likamwua Ogu" # wote wakaisha na hakubaki hata mmoja aliyebaki hai "watu wake wote waliuawa" # wakaichukua nchi yake "wakaitawala nchi yake"