sw_tn/num/21/29.md

24 lines
562 B
Markdown

# Moabu ... watu wa Chemoshi
Virai hivi vinamaanisha watu walewale
# Watu wa Chemoshi
"Chemoshi" lilikuwa jina la mungu wa Uogo amabye aliabudiwa na Wamoabu. "watu waliomwabudu Chemoshi"
# Amewafanya watu wake
kiwakilishi "a" na "wake" kinamaanisha Chemoshi
# tumewapiga
kiwakilishi "tu" kinawawakilisha Waisraeli waliompiga Sihoni
# Tumeiangamiza Heshiboni
"Tumeiangamiza Heshiboni"
# Heshiboni ...mpaka Diboni. Mpaka Nofa ... Madeba
Maeneo yote haya yako kwenye ufalme wa Sihoni. Hii inamaanisha kuwa Waisraeli waliuangamiza utawala wote wa Sihoni.